NAIBU KATIBU MKUU MPANJU AIOMBA SIMBA KUTOA ELIMU KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI KWA JAMII

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju akizungumza wakati wa tukio la utoaji wa msaada lililofanywa na Klabu ya Simba katika Makazi ya Wazee Nunge Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Klabu ya Simba Babra Gonzalez akimkabidhi zawadi mmoja wa wazee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee